Kiungo wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji (kulia) akishangilia bada ya kuifungia timu yake hiyo mabao matatu dakika za 64, 76 na 88 katika ushindi wa 6-0 dhidI ya Arusha FC kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Aruaha. Mabao mengine ya Simba yamefungwa na mshambuliaij Meddie Kagere mawili dakika ya tano na 34 na Mzambia, Larry Bwalya dakika ya 24.
Tags
Michezo