TPDC YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA WAHANDISI JIJINI DODOMA


Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said (kushoto) akipata maelezo kuhusu miradi mbalimbali ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya Gesi Tanzania (GASCO) ambayo ni kampuni tanzu ya TPDC, Mhandisi Baltazar Mrosso alipotembelea banda la TPDC wakati wa Maonesho ya Siku ya Wahandisi jijini Dodoma, mwingine pichani ni Marie Msellemu ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano TPDC.

 Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakati wa Maonesho ya Siku ya Wahandisi jijini Dodoma,aliyesimama ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano TPDC, Marie Msellemu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news