Home Utabiri wa Hali ya Hewa kwa saa 24 leo Septemba 11, 2020 kuanzia saa 3 usiku wa leo Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Ziwa Victoria. Facebook Twitter