HomeUchumi Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Septemba 10,2020 Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Ziwa Victoria. Tags Uchumi Facebook Twitter