HomeHabari Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Septemba 12, 2020 Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Ziwa Victoria.Endelea hapa kwa habari mpya. Tags Habari Uchumi Facebook Twitter