Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) upepo wa Pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya kilomita 30 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote. Pia hali ya bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua vinatarajiwa katika maeneo mengi.Matarajio kwa siku ya Jumamosi ya Septemba 19, 2020 huenda kukawa na mabadiliko kidogo.
Tags
Uchumi