Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 23, 2020; TMA inatoa angalizo kuhusu upepo mkali

  

 ANGALIZO

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili vinatarajiwa katika maeneo machache ya mwambao wa Pwani ya Kusini ya Bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news