Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 29,2020
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria na Magharibi mwa nchi yanatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache
na vipindi vya jua.