WAZIRI wa Kilimo Japhet Hasunga leo tarehe 2 Septemba 2020 amewasili wilayani Bukoba katika Mkoa wa Kagera ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Bukoba, Kyerwa, Karagwe na maeneo mengine mahususi yanayojishughulisha na kilimo hususani zao la Kahawa, anaripoti MATHIAS CANAL.
Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia na kujionea hali ya malipo ya wakulima wa kahawa wanaodai, kukutana na viongozi wa vyma vya Ushirika na kufanya mikutano ya kuwasikiliza wananchi kuhusu changamoto zinazowakabili katika sekta ya kilimo.
Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia na kujionea hali ya malipo ya wakulima wa kahawa wanaodai, kukutana na viongozi wa vyma vya Ushirika na kufanya mikutano ya kuwasikiliza wananchi kuhusu changamoto zinazowakabili katika sekta ya kilimo.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi leo tarehe 2 Septemba 2020. (Picha zote na MATHIAS CANAL).
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi leo tarehe 2 Septemba 2020. Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa ajili ya ziara ya kikazi leo tarehe 2 Septemba 2020.Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akisisitiza jambo mbele ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kagera wakiongonzwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi Leo tarehe 2 Septemba 2020.
Tags
Picha