Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini ametangaza matokeo ya Ubunge kama ifuatavyo;
Ally kessy CCM amepata kura 19,972, Aida Khenan wa CHADEMA kura 21,226 tofauti ni kura 1,254 mshindi ni Aida Khenan jimbo la Nkasi kasikazini.
Missana Kwangula,msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa wilaya Nkasi mkoani Rukwa ndiye aliyetangaza matokeo haya usiku wa leo.
Tags
Habari