Rais aongea na Walimu Live Dodoma
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt Avemaria Semakafu.
Oktoba 5, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt.Avemaria Semakafu, anaripoti Mwandishi Diramakini.
Hayo yamebainishwa punde kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Gerson Msigwa ambapo imefafanua kuwa, nafasi yake itajazwa baadaye.
Taarifa iliyokanushwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Oktoba 5, 2020.
Tags
Habari