ERB WARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MV MWANZA


Muonekano wa sehemu ya chini ya meli ya MV Mwanza inayojengwa jijini Mwanza na Mkandarasi GAS Entec kutoka Korea ya Kusini meli hiyo inayotarajiwa kukamilika mwakani itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200, tani 400 za mizigo na magari zaidi ya 20 itakapokamilika.

Muonekano wa bodi la meli ya MV Mwanza inayojengwa jijini Mwanza na Mkandarasi GAS Entec kutoka Korea ya Kusini meli hiyo inayotarajiwa kukamilika mwakani itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200, tani 400 za mizigo na magari zaidi ya 20 itakapokamilika. (WIZARA YA UJENZI).

Msajili wa wahandisi nchini Eng. Patrick Barozi (mwenye fulana nyekundu), akisisitiza jambo kwa wahandisi waliopata fursa katika mradi wa ujenzi wa meli ya MV Mwanza kujifunza kikamilifu ili kupata ujuzi wa kutosha katika ujenzi huo (wa kwanza kushoto kwake), ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Phillis Nyimbi akifuatilia kwa makini.Mkurugenzi wa Kampuni ya Meli nchini (MSL), Bw, Erick Hamis akifafanua jambo kwa timu ya wahandisi toka Bodi ya usajili wa wahandisi nchini (ERB), walipokagua maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza inayotarajiwa kukamilika mwakani na kutoa huduma katika ziwa Victoria.

Msajili wa wahandisi nchini Eng. Patrick Barozi (mwenye fulana nyekundu), akisisitiza jambo kwa wahandisi na wafanyakazi waliopata fursa katika mradi wa ujenzi wa meli ya MV Mwanza kujifunza kikamilifu ili kupata ujuzi wa kutosha katika ujenzi huo (wa kwanza kushoto kwake), ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Phillis Nyimbi akifuatilia kwa makini.

Mtaalam wa masuala ya ujenzi wa meli Eng. Beda Patrick akifafanua jambo kwa timu ya wahandisi toka Bodi ya usajili wa wahandisi nchini (ERB), walipokagua ujenzi wa meli hiyo jijini Mwanza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news