Jeshi la Polisi: Tumesitisha wito wa Polisi kwa Mgombea Urais Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar ea Salaam Lasitisha Wito wa Kumuita Mgombea Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Tundu Lissu. Lamtaka Tundu Lissu Kuendelea na Ratiba Zake za Kampeni za Uchaguzi Mkuu