Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania yazipiga adhabu timu, wachezaji
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27,2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi tajwa hapo juu.