KATIBU MKUU MWALUKO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA



Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko akielezea masuala ya uboreshwaji wa mazingira ya uwekezaji nchini kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti alipomtembelea na kufanya mazungumzo katika Ofisi yake iliyopo Mtaa wa Relini Jijini Dodoma, walikutana hii leo Oktoba 09, 2020.

Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti akieleza jambo kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.

Mkuu wa Idara ya Maendeleo na Mahusiano wa Umoja wa Ulaya Bw. Cedric Merel akiuliza jambo kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko wakati wa mazungumzo hayo. (Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news