kKampeni zimeingia katika hatua tamu, kila chama kupitia wagombea wake wanajaribu kurusha ndoano kwa namna tofauti ili kuhakikisha Oktoba 28, 2020 wanapewa ridhaa ya kuwa tumikia Watanzania. Kwa sasa zimebaki siku 15 tu kabla ya mchakato huo kutekelezwa.