Live
Biashara United vs Mtibwa Sugar, saa 8:00 mchana.
Goli la kuongoza la Biashara United lilifungwa baada ya kona fupi na kutua kwenye kichwa cha Kelvin Friday aliyetikisa nyavu za Mtibwa Sugar. 68': Biashara 1-0 Mtibwa. Mtibwa wamepoteza.
JKT Tanzania vs Simba, saa 10:00 jioni.
Game! imeisha Dodoma, Simba wanatembeza kichapo kingine cha 4G msimu huu.
Baadae
Azam FC vs Kagera Sugar, saa 1:00 usiku. Anaripoti Mwandishi Diramakini.