“Dkt. Hussein Mwinyi ni mkali, anafanana kidogo na mimi ndio maana nampenda, nawaomba mumjaribu kwa miaka mitano halafu muniulize, asipofanya ninayosema kwa vile nitakuwa bado Mwenyekiti wa CCM tutamuambia pumzika tutafute mwingine ila nina uhakika Mwinyi anatosha,"JPM akiwa mkutano leo Maisara.
Dkt.Magufuli amehitimisha kwa kuwaomba wananchi kura nyingi kwake, Dkt.Mwinyi na wagombea nafasi za udiwani, uwakilishi na Ubunge ili kazi ikaanze mara moja baada ya mwezi huu.