Maelfu ya wananchi wakiwa wamekusanyika barabarani leo Oktoba 10,2020 katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wakiwa wameusimamisha msafara wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu wakati msafara wake ukiwa unaelekea mkoani Singida kuendelea na kampeni za kuomba kura baada ya kumaliza adhabu ya siku saba ya kusimamishwa kufanya kampeni na Kamati ya Kitaifa ya Maadili, Mwandishi Diramakini atakujuza hatua kwa hatua kinachojiri, fuatilia hapa... |