Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya Watanzania kumiminika katika vituo vya kupigia kura. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea kutoa elimu na kutoa maelekezo juu ya mambo mbalimbali ya kuzingatia ili kuhakikisha kuwa, kila mmoja anatimiza haki yake ya kupiga kura kwa ushahihi na kumchagua kiongozi ambaye anaamini ni chaguo lake kuanzia ngazi a udiwani, ubunge na Urais. Mwandishi Diramakini anakusogezea mambo kadhaa kutoka NEC ambayo unapaswa kuyafahamu kuhusu kura zilizokataliwa; |