Viongozi,Masheikh na wahadhiri mbalimbali wamempinga Sheikh Ponda Issa Ponda juu ya madai kuwa, Waislamu wamekubaliana kumuunga mkono mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu huku wakisisitiza kuwa, Waislamu Tanzania hawana mkataba wowote na mgombea kwani wataungana na Watanzania kwenda kumchagua kiongozi ambaye ana uwezo wa kusimamia amani ya nchi ili waendelee kufanya ibada kwa utulivu katika kumtumikia Mwenyenzi Mungu, endelea chini kwenye video;
Sheikh Ponda Issa Ponda ameelezwa na viongozi hao kwa nyakati tofauti kuwa, madai yake hayana mashiko kwa Waislamu, Mwandishi Diramakini atakuletea yote hapa, endelea kufuatilia hatua kwa hatua
Ponda baba Ponda baba, kweli mwanakulitafuta, mwanakulipata. Ukitaka fanya Jambo fanya kwa nafsi yako, watusemea sie kuwa tutamchagua Tundu Atipas Lissu, kwani hatuwezi kuchuja sie wenyewe. Waislamu tuna weredi wa kutosha siyo akiri za kuambiwa na wewe.
ReplyDeleteSheikh tunakuelewa sana wanademokrasia
ReplyDeleteMpaka Sasa Reli ya Kisasa ya SGR kipande cha Dar es salaam - Morogoro kimekamilika kwa zaidi ya 90% na kipande cha Morogoro - Makutupola kimefikia hatua nzuri ya Ujenzi wake. Baada ya Muda mfupi safari ya Mwanza - Dar es salaam itakuwa ikidumu kwa masaa saba pekee. Huyu ndo John Pombe Magufuli, Rais aliyekuwa kuhakikisha Watanzania tunapata matunda ya Raslimali zetu.
ReplyDeleteTarehe 28 October Ni #MagufuliDay.... Kapige Kura kwa amani kwa Rais Magufuli Kisha Rudi nyumbani...
Ushindi awamu hii ni zaidi ya 87%
Dear our valued customer, Partner and friend
ReplyDeleteTIME has limited us from going for window shopping, and buying our needs. We are in busy time but the WORLD is on our hand, we can buy anything we want from anywhere even when we are in very busy working hours, offices, homes, on travel, and sometimes even when we are in horrible places. Our website www.dunianow.com is here to serve you, just click do window shopping and buy what you want and it will be delivered at your door within agreed time
We ensure that:
• Customers get what they paid for in a timely fashion
• Are satisfied and know how to operate our products
• Are updated at every point of the purchase and shipping process
Our site has:
• No opening and closing times
• An extensive and varied international customer base
• A multitude of advertising options
Communication is at the heart of our site and community. Please let us know what you have in your mind by contacting us info@dunianow.com
Keta Magale
CEO
Shehe PONDA ndiye alobaki pekee anatutetea Waisramu, mlio wengi mnababaisha
ReplyDelete*SHEIKH ISSA PONDA NI WA KUPUUZWA - HOVYO KABISA*
ReplyDeleteJana nimesikia Kauli ya Kibaguzi iliyotolewa na Sheikh Issa Ponda akiwa Katika Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Zikiwa zimebaki Siku Tisa tu Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 28 Oktoba, 2020 Kauli Kama hii ya Ponda ni ya Kukemewa Vikali. Toka Kuasisiwa Kwa Taifa letu hili na Kuasisiwa Kwa Muungano wetu wa Tanganyika & Zanzibar Kama Taifa Moja tumeishi Kidugu Kwa Amani, Umoja na Upendo pasipo Kubaguana Kwa namna yoyote ile.
Sheikh Ponda anasema wao Waislamu wamekubaliana Kumchagua Lissu na Sie Wakristo tukija na Kauli yetu Kwamba tunakwenda na Mkristo Mwenzetu Dkt. John Pombe Magufuli Itakuwaje? Hatuoni tunaweza Kulipeleka Taifa letu Kwenye Vita nyingine ya Kubaguana Kwa Itikadi za Kidini???? Hatuoni Tunaweza Kuhatarisha Umoja tulionao?? Hata hivyo bado napata Ukakasi Kama Kweli Kauli ya Sheikh Issa Ponda ni Sauti ya Waislamu wote. Hapa ningependa Viongozi wa Dini ya Kiislamu Waseme Kitu Juu ya Kauli ya Ponda ili tujue Kama ni Kweli au laaa.
Ndugu zangu Watanzania, Kiongozi Bora hapatikani Kwa Misingi ya Kidini wala Kabila. Binafsi Naamini Watanzania tunahitaji Kiongozi Bora atakayetuletea Maendeleo, atakayelinda Amani ya Taifa letu Kwa nguvu zake zote na Kutuunganisha Watanzania wa Makabila Tofauti, Dini Tofauti Kuwa Taifa la Watu wamoja, Tuishi Kwa Kupendana Pasipo Kubaguana Kwa Itikadi za Vyama vyetu au Dini zetu.
Ndugu Watanzania Wenzangu, Tusipotoshwe na Watu Waliochoka Kuishi na Wanaotumika. Amani yetu Ikiharibika wao wana Wana Pakwenda huko nje ya Nchi.
Aidha zipo Sifa Bora Kabisa za Kumpata Kiongozi Bora ambazo baadhi; Mchapa Kazi, Mzalendo wa Kweli Kwa Taifa, Mwenye Upendo wa Kweli, Anayechukia Ufisadi, Rushwa, Mpenda Amani nk. Niwaombe Watanzania Wenzangu, Hatima ya Kesho ya Taifa letu Iko Mikononi Mwetu. Tuchague Viongozi Bora Watakao endelea Kutuvusha sio Waliojawa na Uchu wa Madaraka na Wenye Maslahi Binafsi. Tumejionea Kupitia Kampeni zinazoelekea Ukingoni. Wapo Waliofanya Kampeni za Kistaarabu na Wengine Kampeni zao zinaonyesha wazi Kuwa hawapaswi hata Kujaribiwa Kupewa Nchi. Tusikosee Tukaja Juta. Nchi hii bado ni Nzuri sana na Mwendo tunaokwenda nao ni Mzuri sana.
Tukatae Kutumiwa, Tukatae Kuvuruga Amani yetu. Mungu Ibariki Tanzania ������������
*Robert PJN Kaseko*
*Arusha*
Mtasema sana ila #NiYeyeTu, Oktoba 28 tunajambo letu.....................,............
ReplyDelete.....
.....NiYeyeMitano
Mwaka wa neema, mwaka wa baraka, twende na kiongozi asiyependa matabaka wala udini na ukabila, ndugu John Pombe Joseph Magufuli, JPMMitanoTena, soma hiyoooooooooo
ReplyDeleteIpo hivi;
*NUKUU ZA NDG. SHAKA HAMDU SHAKA, KATIBU WA CCM MKOA WAMOROGORO, KATIKA ZIARA YAKE KATA MBALI MBALI JIMBONI MIKUMI LEO HII 18.10.2020*
"Mkifanikiwa katika Taifa lenu kumpata kiongozi mchapakazi, mwenye huruma, upendo kwa watu wake huku kichwa chake kikichemka kuweka mipango na mikakati ya kuliletea taifa maendeleo endelevu mumshukuru Mungu kwa watanzania JPM tumeongeza tunu ingine ya Taifa."
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni kata Tindiga Mikumi*
KwetuSisi Ni Magufuli.
"JPM ametimiza wajibu wa kutumikia nchi na wananchi wake, amesimamia na kuleta maendeleo kisekta na kujenga uchumi imara hivyo bila kujali itikadi zetu za kisiasa lazima tumpe ushindi mnono na wa kimbunga 28 oktoba 2020 baada hapo tutaeshimiana, watani zetu watajua kuwa CCM ni kinara, kielelezo na alama ya Maendeleo Tanzania na Afrika kwa ujumla inapobeba dhamana kwa wananchi wake"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni kata Tindiga mikumi*
Magufulimitanotena
"Utendaji wa kisera wenye tija na ufanisi alionesha JPM kutokana na utekelezaji ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2015/2020 ni wazi kwamba watanzania tutampigia Magufuli kura nyingi za uzalendo Oktoba 28 mwaka huu"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu wa CCM Morogoro
*Kampeni kata ya Ulaya Mikumi*
Magufulimitanotena
"Tumejipanga nawaahidi tutashinda kwa haki, usawa, amani na utulivu jitokezeni kwa wingi kumpigia kura JPM, Denis londo awe Mbunge wenu na madiwani wote wa CCM lazima tuwadabishe kisiasa, Mikumi kufanya kosa sio kosa kurejea ndio kosa mumenithibitishia kuwa mumeamua kujisahihisha ya 2015 nawaomba iwe hivyo 2020"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni kata Ruaha Mikumi*
Magufuli mitano tena
"Hawana ajenda ya kujenga utaifa. Wamekuwa wakisema nikipata nitafanya wakati wananchi mnaona maendeleo kwa macho yenu yaliyofanyika na yanayofanyika,
wasifikirie watanzania ni wajinga hadi waridhie kuiacha nchi yao mikononi mwa fisi waliopandikizwa fikra za ukoloni mamboleo ili wakishika madaraka wakwapue rasilimali za Taifa na kuiacha nchi ikibaki ombaomba"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni kata Mikumi*
Magufulimitanotena
"Oktoba 28 Mchagueni Magufuli Urais na Denisi Londo awe mbunge wenu Mikumi Londo ni hodari, mzalendo, nawahidi atakuwa mtumishi wenu, atakaejitolea kuwapigania wana Mikumi, Londo sio gunzi bali atakuwa ni kiungo kati JPM, Serikali kuu, Halmashauri, vijiji na vitongoji katika kusimamia maendeleo endelevu"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni kata ya Mikumi*
Magufulimitanotena
"Morogoro Urais wa JMT 28 Oktoba 2020 ni JPM tunapita kuomba kura na kuona atashinda kwa kiwango gani ili iwe fundisho kwa walioamua kuchapia, Kazi si kutaka urais bali kazi kubwa ni kuutumikia Urais kama anavyofanya JPM wengine wasubirie watanzania hawajafikiria kucheza bahati nasibu katik nafasi ya Urais wa nchi"
*Shaka Hamdu Shaka*
Katibu CCM Morogoro
*Kampeni Kata Kilangali Mikumi*
Magufulimitanotena
*'UshindiNiHakika*
Ninyi Dira Makini ni mafala sana, kila nikituma nikiweka comments zangu huwa hamzipandishi,na hii ya leo muiache pia.
ReplyDeleteBABA PONDA, SHEHE WETU MTUKUFU ENDELEA NA HARAKATI ZA KUMTUKUZA MWENYENZI (SUBHAANAHU WA TAALA). HUKU KWENYE SIASA HAKUKUFAI, MHESHIMIWA SHEIKH WETU, MIENENDO YA NAMNA HII HAINA HATUA MBELENI, RUDI NYUMA , JITAFAKARI MAANA UNAPOTEA, ni hayo tu.