HomeHabari Mgombea Urais Tundu Lissu afika kuhemea mahitaji ya nyumbani Kariakoo Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, leo Oktoba 7, 2020, ametembelea soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambapo pia imekuwa ni mara yake ya kwanza kupanda mwendokasi. Tags Habari Picha Facebook Twitter