Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ambaye bado hajazindua kampeni zake rasmi amefunguka kwa mara ya kwanza leo Oktoba 7,2020, anaripoti Mwandishi Diramakini.
![]() |
Mheshimiwa Membe hii inakuwa mara yake ya kwanza kufunguka ndani ya mwezi huu, baada ya ukimya uliotawala kuhusu harakati zake za siasa, ikizingatiwa kuwa yeye ndiye aliyekabidhiwa ilani ya chama.
Tags
Habari