Rais Magufuli amjulia hali Mtanzania aliyekatwa mapanga wakati wa Swala ya Alfajiri, awafariji wanafamilia wengine


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia jeraha alilopata, Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzake wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiteta na Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzake wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya
kampeni.
 

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiteta na kumvalisha kofia ya heshima, Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzake wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano yakampeni.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiongea na Mkuu wa Polisi wa Mjini Magharibi, ACP Awadhi baada ya kumjulia hali ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzake wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa
matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani Oktoba 2,2020 tayari kwa mikutano ya kampeni. (IKULU). 

Kabla ya Zanzibar

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa pole Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel (26) Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyeuawa Agosti 25, 2020  mjini Tunduma mkoani Songwe, kulia ni mama mzazi wa marehemu Roda Bryson Mwaisongole akiwa pamoja na mke wa marehemu Salome Philemon Mayao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe ili ziwasaidie katika kipindi hiki kigumu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi rambirambi yake ya sh.milioni 3 mke wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali pamoja na Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel, kulia ni Mama Mzazi wa Marehemu Roda Bryson Mwaisongole, mke wa Marehemu Salome Philemon Mayao pamoja na Watoto wake wawili. Marehemu Briton aliuwawa tarehe 25 Agosti, 2020 Tunduma mkoani Songwe na ameacha Watoto watatu. Marehemu Briton alikuwa Mkuu wa Mafunzo na Mkuu wa Itifaki UVCCM Wilaya Momba. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mkono watoto wawili wa aliyekuwa Mwanachama wa CCM, marehemu Briton Wilfred Mollel wa Tunduma mkoani Songwe Oktoba 2,2020. (IKULU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news