Stendi mpya ya mabasi ya mikoani, nchi jirani Mbezi Mwisho kuiwezesha Tanzania kuvunja rekodi ya kipekee

Muonekano wa ramani ya Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam ambayo Rais Dkt.John Magufuli na mgeni wake Rais wa Malawi Dkt.Lazarus Chakwera wameweka jiwe la msingi leo Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi walipokuwa wakipita pembezoni mwa Daraja la Juu Ubungo flyover jijini Dar es Salaam leo Oktoba 8,2020. (IKULU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sakafu ya pili (gorofa ya pili) ya barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya mikoanina nchi jirani leo tarehe 08 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale wakati akiangalia mfano wa Ubungo Flyover utakavyokua mara baada ya kukamilika kwake.

Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kisasa kinachojengwa eneo la Mbezi Louis jijini Dar es Salaam ambacho ujenzi wake umefikia asilimia 85. Eneo la Stendi hiyo ya Mabasi ina ukubwa wa mita za mraba 65,000, Stendi hii itakuwa na uwezo wa kuegesha Mabasi 1000,Taxi 280, Bodaboda, bajaji pia Stendi itakuwa na Zahanati, hoteli pamoja na sehemu ya kupumzikia Wasafiri.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO FLYOVER JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo flyovers)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akikagua kazi za ujenzi wa barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya Mikoani leo tarehe 08 Oktoba 2020.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news