Kwa mujibu wa Telegraph, Klabu ya Leicester City inajiandaa kutoa ofa ya mkataba mpya kwa winga Harvey Barnes (22) huku Skysports ikiripoti kuwa,Inter Milan wanajiandaa kumnasa beki wa kushoto wa Chelsea, Marcos Alonso (29).
Wakati huo huo, Guardian inaripoti kuwa,
Tottenham wamekataa ofa ya mkopo wa pauni milioni 1.5 kutoka Paris St-Germain kwa ajili ya mlinda mlango Dele Alli (24) na anajiandaa kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya London. Aidha, Express inaripoti kuwa,Spurs imeweka ofa ya mkopo kwa ajili ya mlinzi Antonio Rudiger (27) anayechezea Chelsea, wakati mazungumzo yakiendelea.
Wakati huo huo, Mirror inaripoti kuwa, Arsenal wamekubali dili la mkopo kwa ajili ya mlinzi wa Uruguay Lucas Torreira (24)k Atletico Madrid,huku wakitarajia kuingia kandarasi na Hossem Aouar (22) kutoka Lyon.

Marcos Alonso (29). (Eurosport). |