Treni ya kwanza ya abiria yawasili katika stesheni ya Arusha
Treni ya kwanza ya abiria yawasili katika stesheni ya Arusha
Treni ya kwanza ya abiria yawasili katika stesheni ya Arusha
Treni ya kwanza ya abiria yawasili katika stesheni ya Arusha
Treni ya kwanza ya abiria yawasili katika stesheni ya Arusha jijini humo baada ya zaidi ya miaka 30 na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi Oktoba 3, 2020. Katika picha juu ni baadhi ya matukio katika mapokezi hayo ambapo treni hiyo iliruhusiwa kuanza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge katika Stesheni ya Kamata Oktoba 2, 2020.