Mchambuzi ni Tereza Ngassa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), anaripoti Mwandishi Diramakini (diramakini@gmail.com).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Kigoma yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.