Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvumakwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote kutoka Kusini Mashariki pia hali ya bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.Matarajiokwa siku ya Jumatatu tarehe 12/10/2020 kutakuwa na mabadiliko kidogo.
Mchambuzi ni Amina Saleh kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).