Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 13,2020 Kiwango cha juu cha joto ni nyuzi joto 33 ( 33°C)

"Upepo wa Pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya kilomita 30 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote. Hali ya Bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.Matarajio kwa siku ya Jumatano tarehe14/10/2020 yanatarajiwa mabadiliko kidogo".

Mchambuzi ni Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

 
Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, kiwango cha juu cha joto ni nyuzi joto 33 ( 33°C).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news