Mchambuzi ni Happiness Mpunza kutokana Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
TAHADHARI
IMEANDALIWA NA MWANDISHI DIRAMAKINI KWA MSAADA WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA). KWA MUJIBU WA TMA, VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA DAR ES SALAAM NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA).
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA TANGA NA KASKAZINI
MWA MKOA WA MOROGORO PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
ANGALIZO
VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2
VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KUSINI KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.