Mchambuzi ni Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, Dar es salaam inatarajiwa hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi na vipindi vya jua.