Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 16, 2020

  
Mchambuzi ni Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news