Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 18,2020
Mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.