Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 19,2020
Mchambuzi ni Ramadhani Omary kutoka TMA.
Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya
Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA maeneo yanayozunguka Ziwa
Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.