Mchambuzi ni Ramadhani Omary kutoka TMA.


Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, mvua na ngurumo zinatarajiwa kuendelea katika maeneo machache yanayozunguka Ukanda wa Ziwa Victoria.