Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Oktoba 29, 2020 unaletwa na mchambuzi Happiness Mpunza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
ANGALIZO
1. VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA TANGA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
2. VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA ZIWA NYASA (MIKOA YA NJOMBE AND RUVUMA).