Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Oktoba 1,2020
Mchambuzi ni Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo na machache na vipindi vya
jua.