Kirumbe Ng'enda wa CCM amepata kura 27,638 akifuatiwa na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo aliyepata kura 20,600.
Kwa kura hizo, Zitto Kabwe amepoteza kiti chake cha ubunge, Kirumbe Ng'enda ndiye mshindi katika Jimbo la Kigoma Mjini.
Wakati huo huo, Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema, CHADEMA aliyepata kura 46,489.
Godbless Lema |