UCHAGUZI WA MAREKANI:Mpakaasa Mgombea wa Democratic, Joe Biden anahitaji tu kura sita kufikisha idadi ya wajumbe 270 inayohotajika kumpa ushindi katika uchaguzi wa Rais. Hii ni baada ya kushinda jimbo la Michigan.Mgombea wa Republican Donald Trump amedai kura zihesabiwe upya na amewasilisha kesi mahakamani katika majimbo matatu muhimu. Endelea kufuatilia hapa Mwandishi Diramakini anakuja na ripoti jumuishi...