Leo ni Novemba 9, 2020 karibu kurasa za Magazeti ya Kiswahili kutoka nchini Tanzania. Hii ni wiki ya pilikapili nyingi kuanzia Bungeni ambapo mamilioni ya Watanzania wanaelekeza macho na masikio huko ili kufahamu yanayojiri na wateule katika nafasi mbalimbali.