Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Novemba 5, 2020 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Novemba 5, 2020 jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Novemba 5,2020 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news