Ndugai, Tulia wapeta Uspika, Naibu Spika, Maulid ang'ara Spika Wawakilishi

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo iliketi jijini Dodoma imempongeza Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kushinda kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili ya mwaka 2020-25, anaripoti Mwandishi Diramakini.
Pia kamati hiyo imewapendekeza, Mheshimiwa Job Ndugai kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson kuwania Naibu Spika na Zuber Alli Maulid kuwania Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news