Rais Magufuli ashiriki Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu toka kwa Padre Paul Mapalala waliposhiriki Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A" katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu jijini Dodoma Novemba 8, 2020. Kushoto ni Mama Janet Magufuli akisubiri naye kupokea sakramenti hiyo. [Picha na Ikulu].

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news