Sherehe ya kuapishwa Rais Dkt. John Magufuli ilivyofana jijini Dodoma










Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielekea katika jukwaa baada ya kuapishwa  Novemba 6,2020 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Viongozi hao waliapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma.
Watanzania wakishuhudia kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma Novemba 5, 2020.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news