Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 29, 2020 unawasilishwa na mchambuzi, Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi.
Tags
Habari