Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 1, 2020 unawasilishwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua zinatarajiwa kuendelea katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria na Ukanda wa Pwani.
Tags
Habari