Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku Novemba 4, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mikoa ya Ziwa Victoria inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua. |
Tags
Habari