Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku leo Novemba 5, 2020
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Tags
Habari