Utabiri wa hali ya hewa Novemba 7, 2020 'MVUA KUBWA'

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku Novemba 7, 2020 unaletwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

 

KWA MUJIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA KASKAZINI MWA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, MOROGORO, TANGA NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news